Kampuni ya Fortune Decor& Event Rentals inatoa huduma bora na za
kiubunifu mkubwa za upambaji wa shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na
harusi, send off,kitchen party, birthday, dinner party,
mikutano,uzinduzi wa huduma na bidhaa, kipaimara, komunio,ubatizo na
misiba.Pia Fortune Decor& Event Rentals inakodisha viti,meza, chair
covers, table cloth na vifaa vingine vingi vitavyohitaji katika event
mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment