Hotlines : +255754 267 064

+255688 000 938 / +255755 936 585

About Us

Fortune Decor and Event Rentals
Kampuni ya Fortune Decor & Event Rentals inatoa huduma bora na za kiubunifu mkubwa za upambaji wa shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na harusi, send off, kitchen party, birthday, dinner party, mikutano,uzinduzi wa huduma na bidhaa, kipaimara, komunio,ubatizo na misiba.

Pia Fortune Decor & Event Rentals inakodisha viti, meza, chair covers, table cloth na vifaa vingine vingi vitavyohitaji katika event mbalimbali. 

Wasiliana nasi kupitia simu zifuatazo;

+255754 267 064

+255688 000 938

+255755 936 585

Pia peruzi ukurasa wetu wa Instagram kupitia https://www.instagram.com/fortunedecor/

 


0 comments:

Post a Comment